Kitobelo

Kitobelo ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Watobelo. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kitobelo imehesabiwa kuwa watu 27,700. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitobelo iko katika kundi la Kipapua ya Magharibi.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne