Kitomoip

Kitomoip ni lugha ya Kiaustronesia nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Watomoip. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kitomoip imehesabiwa kuwa watu 200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kitomoip iko katika kundi la Kioseaniki.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne