Kitowei ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Watowei. Mwaka wa 1975 idadi ya wasemaji wa Kitowei imehesabiwa kuwa watu 120, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitowei iko katika kundi la Kipauwasi.