Kitsogo ni lugha ya Kibantu nchini Gabon inayozungumzwa na Watsogo. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kitsogo imehesabiwa kuwa watu 12,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kitsogo iko katika kundi la B30.
Developed by Nelliwinne