Kitsum ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal inayozungumzwa na Watsum. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kitsum imehesabiwa kuwa watu 4790. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitsum iko katika kundi la Kibodish.
Developed by Nelliwinne