Kiturkana

Kiturkana ni lugha ya Kinilo-Sahara inayozungumzwa na Waturkana nchini Kenya. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kiturkana ilihesabiwa kuwa watu 989,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha wa ndani zaidi, Kiturkana kiko katika kundi la lugha za Kiniloti.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne