Kitwe ni jiji la tatu nchini Zambia kwa ukubwa katika suala la maendeleo ya miundombinu (baada ya Lusaka na Ndola) na la pili kwa idadi ya wakazi (baada ya Lusaka) ikiwa na watu 517,543.
Developed by Nelliwinne