Kiukpe-Bayobiri

Kiukpe-Bayobiri ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waukpe na Wabayobiri. Mwaka wa 1973 idadi ya wasemaji wa Kiukpe-Bayobiri imehesabiwa kuwa watu 12,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiukpe-Bayobiri iko katika kundi la Cross River.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne