Kiukraini | |||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Kinazungumzwa nchini: | Ukraini, Urusi, Kazakhstan, Moldova, Marekani, Kanada, Belarusi, Ureno, Slovakia, Argentina, Kirgizstan, Latvia, Romania, Ulaya ya Magharibi, Croatia, Brazil | ||||||||||||||||
Waongeaji: | Milioni 39 | ||||||||||||||||
Daraja: | 25 | ||||||||||||||||
Lugha rasmi: | |||||||||||||||||
Nchi: | Ukraini | ||||||||||||||||
Uainishaji wa kiisimu: | |||||||||||||||||
![]() | |||||||||||||||||
|
Kiukraini (kwa Kiukraini: українська (мова), ukrajins'ka mova) ni lugha ya Kislavoni cha Mashariki, mojawapo katika familia ya Lugha za Kihindi-Kiulaya.
Kiukraini ni lugha ya pili inayozungumzwa zaidi katika orodha ya lugha za Kislavoni. Kuna waongeaji milioni 37 wanaoongea lugha hii nchini Ukraini, ambapo ni lugha rasmi. Wengi wa wenyeji wake lugha hii ni lugha mama. Kwa hesabu ya dunia nzima, kuna waongeaji wapatao milioni 47 wanaoongea lugha hii.