Kivaghat-Ya-Bijim-Legeri (pia Kikwanka) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wavaghat, Waya, Wabijim na Walegeri. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kivaghat-Ya-Bijim-Legeri imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kivaghat-Ya-Bijim-Legeri iko katika kundi la Plateau.