Kivaiphei

Kivaiphei ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi inayozungumzwa na Wavaiphei. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kivaiphei imehesabiwa kuwa watu 40,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kivaiphei iko katika kundi la Kisal.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne