Kivehes ni lugha ya Kiaustronesia nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wavehes. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kivehes imehesabiwa kuwa watu 70 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kivehes iko katika kundi la Kioseaniki.
Developed by Nelliwinne