Kiwae-Rana

Kiwae-Rana ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wawae-Rana kwenye kisiwa cha Flores. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kiwae-Rana imehesabiwa kuwa watu 3000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwae-Rana iko katika kundi la Kibima-Lembata.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne