Kiwalmajarri ni lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia inayozungumzwa na Wawalmajarri katika jimbo la Australia Magharibi. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kiwalmajarri 510. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwalmajarri kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.