Kiwambon ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Wawambon. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kiwambon imehesabiwa kuwa watu 3000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwambon iko katika kundi la Kidumut.
Developed by Nelliwinne