Kiwaanyi (au Kiwanyi) ni lugha ya Kiyanyi nchini Australia inayozungumzwa na Wawaanyi katika jimbo la Northern Territory. Mwaka wa 2007, kulikuwa na wasemaji wa Kiwaanyi chini ya kumi tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni.
Developed by Nelliwinne