Kiwaube

Kiwaube (au Kikwato) ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wawaube. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kiwaube imehesabiwa kuwa watu 780. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiwaube iko katika kundi la Kimadang.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne