Kiyala ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wayala. Mwaka wa 1973 idadi ya wasemaji wa Kiyala imehesabiwa kuwa watu 50,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyala iko katika kundi la Kiidomoidi.
Developed by Nelliwinne