Kiyale-Kosarek ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Wayale. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kiyale-Kosarek imehesabiwa kuwa watu 2300. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyale-Kosarek iko katika kundi la Kimek.