Kiyaoure

Kiyaouré ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote d'Ivoire inayozungumzwa na Wayaouré. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kiyaouré imehesabiwa kuwa watu 24,600. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyaouré iko katika kundi la Kimande.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne