Kiyeni

Kiyeni ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun iliyozungumzwa na Wayeni. Hakuna watu wawezao kuzungumza lugha ya Kiyeni. Kinachobaki na lugha hiyo ni wimbo mmoja uliokumbukwa na Wakwanja. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyeni iko katika kundi la Kimambiloidi ambalo linafanana na lugha za Kibantu.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne