Kiyogad

Kiyogad ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wayogad. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kiyogad imehesabiwa kuwa watu 16,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiyogad iko katika kundi la Kifilipino.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne