Kiyong

Kiyong ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uthai inayozungumzwa na Wayong. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiyong imehesabiwa kuwa watu 12,600. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiyong iko katika kundi la Kitai ya Kusini-Magharibi.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne