Zemba | ||
---|---|---|
Dhimba | ||
Inazungumzwa nchini | — | |
Ukanda | — | |
Jumla ya wazungumzaji | — | |
Familia ya lugha | Niger-Congo
| |
Misimbo ya lugha | ||
ISO 639-1 | None | |
ISO 639-2 | ||
ISO 639-3 | dhm | |
Note: This page may contain IPA phonetic symbols in Unicode. |
Kizemba (au Kidhimba) ni lugha ya Kibantu nchini Angola na Namibia inayozungumzwa na Wazemba. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kizemba nchini Angola imehesabiwa kuwa watu 18,000. Pia kuna wasemaji 12,000 nchini Namibia (2009). Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kizemba iko katika kundi la R30.