Jamhuri ya Kodivaa République de Côte d'Ivoire (Kifaransa) | |
---|---|
Kaulimbiu: Union – Discipline – Travail (Kifaransa) "Umoja– Nidhamu – Kazi" | |
Wimbo wa taifa: L'Abidjanaise "Wimbo wa Abidjan" | |
Mji mkuu | Yamoussoukro |
Mji mkubwa | Abidjan |
Lugha rasmi | Kifaransa |
Serikali | Jamhuri |
• Rais | Alassane Ouattara |
Patrick Achi | |
Historia | |
• Kuasisi kwa jamhuri | 4 Desemba 1958 |
7 Agosti 1960 | |
Eneo | |
• Jumla | km2 322 463 (ya 67) |
• Maji (asilimia) | 1.4 |
Idadi ya watu | |
• Kadirio la 2023 | 29 344 847 |
• Sensa ya 2014 | 22 671 331 |
• Msongamano | 91.1/km2 |
Sarafu | Faranga ya CFA |
Majira ya saa | UTC+0 (GMT) |
Msimbo wa simu | +225 |
Jina la kikoa | .ci |
Kodivaa[1] (kwa Kifaransa: Côte d'Ivoire[tanbihi 1]; kwa Kiingereza: Ivory Coast) ni nchi ya Afrika ya Magharibi. Imepakana na Liberia na Guinea upande wa magharibi, Mali na Burkina Faso kaskazini, Ghana mashariki na Ghuba ya Guinea ya Atlantiki upande wa kusini.
Hitilafu ya kutaja: <ref>
tags exist for a group named "tanbihi", but no corresponding <references group="tanbihi"/>
tag was found