Koloni

Koloni ni neno linalotumiwa kwa kutaja:

  • makazi mapya ya watu kutoka eneo moja katika eneo jingine
  • eneo linalotawaliwa na nchi ya mbali hasa kwa kusudi la kufaidi malighafi yaliyopo au kwa shabaha ya kuwa na kituo cha kijeshi au cha biashara.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne