Kosma I wa Aleksandria (alifariki 28 Mei 730) kuanzia mwaka 729 hadi kifo chake alikuwa Patriarki wa 44 wa Aleksandria (Misri).
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu[1].
- ↑ "Lives of Saints :: Paona 3". www.copticchurch.net. Iliwekwa mnamo 2018-03-14.