| |||||
Kaulimbiu ya taifa: -- Kihistoria: Antemurale Christianitatis (Kilatini) "Ngome ya Ukristo" | |||||
Wimbo wa taifa: "Lijepa naša domovino" "Nchi yetu nzuri" | |||||
Mji mkuu | Zagreb | ||||
Mji mkubwa nchini | Zagreb | ||||
Lugha rasmi | Kikroatia1 | ||||
Serikali | Jamhuri Zoran Milanović Andrej Plenković | ||||
Uhuru Ilianzishwa Utemi wa Kroatia Ufalme wa Kroatia Kutoka Yugoslavia |
Karne ya 7 (mwanzoni) 3 Machi 852 925 25 Juni 1991 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
56,542 km² (ya 126) 0.01 | ||||
Idadi ya watu - Julai 2005 kadirio - 2011 sensa - Msongamano wa watu |
4,551,000 (ya 128) 4,284,889 75.8/km² (ya 126) | ||||
Fedha | Kuna (kn) (HRK )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
CET (UTC+1) CEST (UTC+2) | ||||
Intaneti TLD | .hr | ||||
Kodi ya simu | +385
- | ||||
1pia Kitalia katika Istria. |
Kroatia (pia Korasia, kwa Kikroatia: Republika Hrvatska) ni nchi ya Ulaya ya kusini-mashariki. Imepakana na Slovenia, Hungaria, Serbia, Bosnia na Herzegovina na Montenegro.
Ng'ambo ya kidaka cha Adria iko Italia.
Mji mkuu ni Zagreb.
Kroatia ilikuwa kati ya majimbo ya Yugoslavia na ilipata uhuru wake mwaka 1991.
Imejiunga na Umoja wa Ulaya tarehe 1 Julai 2013.