![]() | Makala hii ina vyanzo lakini havijapangiliwa kwa kufuata utaratibu wa uandishi wa Wikipedia
Makala (au sehemu ya makala hii) inatoa habari bila kuonesha vyanzo au uthibitisho wowote mahali husika.
|
| |||||
Kaulimbiu ya taifa: Kihispania: Patria o Muerte („Taifa au mauti“)[1] | |||||
Wimbo wa taifa: "La Bayamesa" ("Wimbo la Bayamo") | |||||
![]() | |||||
Mji mkuu | Havana | ||||
Mji mkubwa nchini | Havana | ||||
Lugha rasmi | Kihispania | ||||
Serikali | Jamhuri ya kijamii ya chama kimoja Miguel Díaz-Canel | ||||
Uhuru Kutoka Hispania tangazo la Jamhuri ya Kuba tarehe inayokumbukwa nchini Kuba |
10 Oktoba 1868 20 Mei 1902 1 Januari 1959 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
110,861 km² (ya 105) negligible | ||||
Idadi ya watu - [[]] kadirio - 2013 sensa - Msongamano wa watu |
(ya 73) 11,210,064 102/km² (ya 106) | ||||
Fedha | Peso (CUC )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
EST (UTC-5) (Starts 1 Aprili, end date varies) (UTC-4) | ||||
Intaneti TLD | .cu | ||||
Kodi ya simu | +53
- |
Kuba (pia: Kyuba; kwa Kihispania: Cuba) ni nchi ya kisiwani katika Bahari ya Karibi kusini kwa Marekani. Nchi hiyo inajumuisha kisiwa kikuu cha Kuba ambacho pia ni kisiwa kikubwa cha Antili Kubwa pamoja na kisiwa cha Isla de la Juventud na visiwa vidogo vingine vingi.Kuba ni nchi kubwa kati ya nchi za Karibi yenye wakazi wengi.
Utamaduni wake unaonyesha athari za historia yake kama koloni la Hispania kwa miaka mingi, pia ya wakazi wenye asili katika watumwa kutoka Afrika na ya kuwa jirani na Marekani.