Kuta za Benin

Kuta za Benin (pia ikijulikana kama Benin Iya; kwa Kiedo: Iyanuwo),[1] ni mfululizo wa kuta zinazozunguka Mji wa Benin katika Jimbo la Edo nchini Nigeria.

  1. Ebegbulem, Simon (25 Machi 2011). "National monument,Benin moat...On the edge of extinction". Vanguard News. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 8 Septemba 2023. Iliwekwa mnamo 12 Oktoba 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne