| |||||
Kaulimbiu ya taifa: (hakuna) | |||||
Wimbo wa taifa: watani alkuwait وطني الكويت سلمت للمجد (Taifa langu la Kuwait) | |||||
![]() | |||||
Mji mkuu | Jiji la Kuwait | ||||
Mji mkubwa nchini | Salmiya | ||||
Lugha rasmi | Kiarabu | ||||
Serikali | Ufalme wa kikatiba Mishal Al-Ahmad Al-Jaber Al-Sabah Mohammad Sabah Al-Salem Al-Sabah | ||||
Uhuru kutoka Uingereza |
19 Juni 1961 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
17,820 km² (ya 157) -- | ||||
Idadi ya watu - 2014 kadirio - 2005 sensa - Msongamano wa watu |
4,044,500 2 (140) 2,213,403 200.2/km² (ya 68) | ||||
Fedha | Kuwaiti Dinar (KWD )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC+3) (UTC+3) | ||||
Intaneti TLD | .kw | ||||
Kodi ya simu | +965
- |
Kuwait (kwa Kiarabu: الكويت ) ni nchi ndogo ya Uarabuni kwenye Ghuba ya Uajemi.