Lazio ni mkoa wa Italia. Uko katikati, upande wa magharibi.
Ni mkoa wa pili kwa wingi wa wakazi na kwa uchumi baada ya Lombardia.
Mji mkuu wake ni Roma, ambao ni pia mji mkuu wa taifa na mji mkubwa kuliko yote nchini.
Developed by Nelliwinne