Kiernan akichezea West Ham United mnamo 2022
Leanne Kiernan (alizaliwa 27 Aprili 1999)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ireland ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Liverpool FC ya Ligi Kuu Wanawake ya Uingereza (WSL)[2][3] na timu ya taifa ya Jamhuri ya Ireland.[4][5]
- ↑ "Lure of pigs and the land still strong for Shelbourne's Leanne Kiernan". The Irish Times (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-21.
- ↑ "Leanne Kiernan: Liverpool Women sign Republic of Ireland striker from West Ham". Sky Sports (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-21.
- ↑ "Liverpool's Kiernan set to miss months with injury", BBC Sport (kwa Kiingereza (Uingereza)), iliwekwa mnamo 2024-04-21
- ↑ Pyne, Anthony (2023-06-28). "Mannion, Campbell & Kiernan miss out on World Cup" (kwa Kiingereza).
- ↑ The 42 Team (2016-11-26). "Stephanie Roche on target as Ireland women give Sue Ronan the perfect send-off". The 42 (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-21.
{{cite web}}
: CS1 maint: numeric names: authors list (link)