Leo Aloysius Pursley

Leo Aloysius Pursley (12 Machi 190215 Novemba 1998) alikuwa kasisi wa Marekani katika Kanisa Katoliki.

Alihudumu kama askofu wa Jimbo la Fort Wayne-South Bend, Indiana, kutoka 1956 hadi 1976.[1]

  1. Curtis, Georgina Pell (1961). The American Catholic Who's Who. Juz. la XIV. Grosse Pointe, Michigan: Walter Romig.

From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne