Liberali wa Altino (karne ya 4 – 400 hivi) alikuwa mkaapweke[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu[2].
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 27 Aprili[3].
Developed by Nelliwinne