| |||||
Kaulimbiu ya taifa: none | |||||
Wimbo wa taifa: Oben am jungen Rhein ("Juu ya Rhine changa") | |||||
Mji mkuu | Vaduz | ||||
Mji mkubwa nchini | Schaan | ||||
Lugha rasmi | Kijerumani | ||||
Serikali | Ufalme wa kikatiba (Utemi) Hans-Adam II wa Liechtenstein Alois wa Liechtenstein Daniel Risch | ||||
Uhuru Tarehe |
1806 (Mkataba wa Pressburg) | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
160 km² (ya 215) negligible | ||||
Idadi ya watu - Julai 2013 kadirio - 2000 sensa - Msongamano wa watu |
37,132 (ya 215) 33,307 227/km² (ya 57) | ||||
Fedha | Frank ya Uswisi (CHF )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
CET (UTC+1) CEST (UTC+2) | ||||
Intaneti TLD | .li | ||||
Kodi ya simu | +{{{calling_code}}}
- |
Utemi wa Liechtenstein (kwa Kijerumani: Fürstentum Liechtenstein) ni nchi ndogo katika Ulaya ya Kati. Imepakana na Uswisi na Austria. Ni ya sita kati ya nchi huru ndogo zaidi duniani.
Mji mkuu ni Vaduz wanapoishi wakazi 5000.