Eneo | 123,900 km² |
Wakazi(2001) | 5,273,637 |
Lugha | Sepedi, Venda, Tsonga |
Wakazi kimbari | Waafrika Weusi(97.3%) Wazungu(2.4%) Chotara(0.2%) Wenye asili ya Asia (0.1%) |
Mji Mkuu | Polokwane |
Waziri Mkuu | Sello Moloto (ANC) |
![]() |
Limpopo ni jimbo la kaskazini kabisa la Afrika Kusini. Mji mkuu ni Polokwane (zamani Pietersburg). Jimbo liliundwa kutokana na sehemu ya kaskazini ya jimbo la Transvaal ya awali na maeneo ya bantustan Venda na Lebowa.
Jina limetokana na mto Transvaal ambao ni mpaka wa jimbo na nchi jirani ya Zimbabwe.