Lol State | |
Mahali pa Lol katika Sudan Kusini | |
Nchi | Sudan Kusini |
---|---|
Makao makuu | Raga |
Idadi ya kaunti | 11 |
Idadi ya manispaa | |
Serikali | |
- Gavana | Rezik Zechariah Hassan |
Idadi ya wakazi (Kadirio la 2014) | |
- Wakazi kwa ujumla | 251,160 |
Lol State ni mojawapo kati ya majimbo 32 yanayounda Sudan Kusini.
Imegawanyika katika kaunti 11: Eri County, Gomjuer West County, Gomjuer East County, Korok West County, Korok East County, Kuru County, Majakbai County, Marialbai County, Malual North County, Malual Centre County na Ringi County.