Lombardia ni mkoa wa Italia. Ndio mkoa wenye watu wengi zaidi.
Unaongoza kwa utajiri kati ya mikoa yote ya Ulaya.
Mji mkuu wake ni Milano.
Developed by Nelliwinne