Jiji la Los Angeles | |||
| |||
Nchi | Marekani | ||
---|---|---|---|
Jimbo | California | ||
Wilaya | Los Angeles | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 3,849,378 | ||
Tovuti: www.lacity.org |
Los Angeles (mara nyingi kifupi L.A.) ni mji wa Kalifornia ya kusini. Ni mji mkubwa kuliko yote ya Kalifornia na mji mkubwa wa pili wa Marekani mwenye wakazi 3,847,400 mjini penyewe na hadi milioni 18 katika rundiko la mji. Mji uko kando la Pasifiki katika tambarare kati ya bahari na milima.
Mtaa maarufu mjini Los Angeles ni eneo la Hollywood.