Ludwig Krapf | |
Amezaliwa | Januari 1810 Tübingen, Ujerumani |
---|---|
Amekufa | 26 Novemba 1881 Korntal, Germany |
Nchi | Ujerumani |
Anafahamika kwa | Alitafsiri Bibilia kwa Kiswahili |
Kazi yake | Mmissionari |
Johann Ludwig Krapf (11 Januari 1810 – 26 Novemba 1881) alikuwa mmisionari wa kwanza wa Uprotestanti nchini Kenya katika karne ya 19 akatunga kamusi ya kwanza ya lugha ya Kiswahili.