Lugha za Kigunwinyguan

Eneo la lugha za Kigunwinyguan barani mwa Australia, rangi ya kizambarau

Lugha za Kigunwinyguan (au Kigunwingguan) ni familia ndogo ya lugha nchini Australia. Katika familia hiyo kuna lugha zaidi ya kumi ambazo huzungumzwa upande wa kaskazini ya jimbo la Northern Territory.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne