Lugha za Kidravidi

Lugha za Kidravidi ni familia ya lugha ambazo huzungumzwa upande wa Kusini wa Uhindi na pia katika kisiwa cha Sri Lanka. Idadi ya lugha katika familia hiyo ni takriban 80.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne