Lugha za Kipama-Nyungan

Enezi la lugha za Kipama-Nyungan barani mwa Australia, rangi ya manjano

Lugha za Kipama-Nyungan ni familia ya lugha nchini Australia. Katika familia hiyo kuna lugha takriban 300, yaani ni familia kubwa kabisa barani mwa Australia. Hata hivyo, lugha nyingi za Kipama-Nyungan zimeshatoweka au zimekaribia kutoweka hivi karibuni.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne