Lugha za Kitorricelli

Lugha za Kitorricelli ni familia ndogo ya lugha takriban hamsini ambazo huzungumzwa katika kisiwa cha Papua, nchini Papua Guinea Mpya.

Jina la Torricelli limetokana na milima ya Torricelli ambapo lugha hizo huzungumzwa karibu nayo.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne