Lupane ni mji wa Zimbabwe, makao makuu ya mkoa wa Matabeleland Kaskazini.
Katika sensa ya mwaka 2012 wakazi walihesabiwa kuwa 100,000.
Developed by Nelliwinne