Magdeburg | |
Mahali pa mji wa Magdeburg katika Ujerumani |
|
Majiranukta: 52°8′0″N 11°37′0″E / 52.13333°N 11.61667°E | |
Nchi | Ujerumani |
---|---|
Jimbo | Saksonia-Anhalt |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 230.000 |
Tovuti: www.magdeburg.de |
Magdeburg ni mji mkuu wa Saksonia-Anhalt nchini Ujerumani. Iko kando ya mto Elbe. Idadi ya wakazi wake ni takriban 230,000.