Mahdi Muhammad Abu-Omar (alizaliwa Yerusalemu, 18 Oktoba 1970) ni mtaalamu wa kemia kutoka Palestina na Marekani, ambaye kwa sasa ni Profesa wa Kemia ya Kijani katika Idara za Kemia na Biokemia pamoja na Uhandisi wa Kemikali katika Chuo Kikuu cha Santa Barbara Califonia. [1][2]
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)