Makgatho Lewanika Mandela (26 Juni 1950 - 6 Januari 2005) alikuwa mtoto wa Nelson Mandela kutoka kwa mke wake wa kwanza Evelyn Mase. Yeye ndiye baba wa Ndaba Mandela.
Alifariki kwa Ukimwi mnamo 6 Januari 2005 huko Johannesburg.
Developed by Nelliwinne