Makka

Muonekano wa Mji wa Makka

Makka (rasmi: Makkah al-Mukarramah; Kar.: مكة المكرمة‎) ni mji wa Ufalme wa Uarabuni wa Saudia. Ina wakazi 1,294,167 (mwaka 2004). Mji uko kwenye bonde la Ibrahimu mnamo km 80 kutoka pwani la Bahari ya Shamu na bandari ya Jeddah. Mazingira ya mji ni jangwa mahali penyewe kuna visima vilivyowezesha kuwepo kwa mji tangu kale.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Nelliwinne